Collector
Wananchi wanufaika vituo vya uwezeshaji | Collector
Wananchi wanufaika vituo vya uwezeshaji
HabariLeo

Wananchi wanufaika vituo vya uwezeshaji

DODOMA: VITUO vya Uwezeshaji wananchi kiuchumi nchini vimeendelea kuwa kimbilio la wafanyabiashara, wajasiriamali, wakulima na vijana wanaotaka kuanza biashara wenye mlengo wa kupiga hatua katika shughuli zao za uzalishajimali. Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC), Gwakisa Bapala amesema hayo wakati akielezea mafanikio endelevu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Bapala amesema vituo … The post Wananchi wanufaika vituo vya uwezeshaji first appeared on HabariLeo .

Go to News Site