Radio Jambo
Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi anasema haoni sababu yoyote ya msingi ya kujiuzulu licha ya kashfa ya ufisadi katika wizara yake. Unafikiria anapaswa kung’atuka,au apewe muda kushughulikia tuhuma hizi ? #gidinaghostasubuhi #kituochawakenya
Go to News Site