bongo5.com
Kwenye Mahojiano yake na @el_mando_tz kupitia #B4THEFAME ameeleza kuwa @marioo_tz alikataa kumpa Collabo kwa kuongopa kuharibu uhusiano wake na @harmonize_tz Mbali na hilo Ibraah amesema kuwa wale wanaosema Mbosso na Marioo ndio wasanii bora kwa sasa ni kwa sababu hawajakutana naye. Anasema kwa hiki kizazi chake hakuna msanii wa kumpita kwenye Uandishi. Mahojiano yote yapo YouTube ya Bongofive
Go to News Site