Collector
Ibraah: Harmonize alinifichia Hela zangu za muziki | Collector
Ibraah: Harmonize alinifichia Hela zangu za muziki
bongo5.com

Ibraah: Harmonize alinifichia Hela zangu za muziki

Kwenye Mahojiano na @el_mando_tz @ibraah_tz anasema Harmonize alificha mapato yako yote miaka yote hakuwahi kuyaona kabisa. Anaongeza alitaka kukaa Konde Gang Milele lakini Harmonize akaenda Tofauti na Mkataba. Mahojiano yote yapo YouTube ya Bongofive

Go to News Site