bongo5.com
Kwenye Mahojiano yake na @el_mando_tz kupitia #B4THEFAME @ibraah_tz ameeleza kuwa @harmonize_tz alimletea Mkataba akataka asaini asimzungumzie wala kuzungumzia Konde Gang. Lakini pia ameeleza namna @diamondplatnumz alivyomsaidia kwa kumpa Wanasheria ili ajinasue kwenye Mkataba wa Harmonize wa kulipishwa bilioni moja. Mahojiano yote yapo kwenye Akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive
Go to News Site