HabariLeo
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Serikali itaendelea kuunga mkono sekta binafsi kwani ina mchango kwa taifa kutokana na kwa sasa mawasiliano ni nyenzo muhimu baina ya wananchi na serikali. Hayo ameyasema leo jijini Da es Salaam kwenye miaka 10 ya Kampuni ya NETIS inayohusika na ujenzi wa minara na … The post Serikali, sekta binafsi kuendeleza ushirikiano first appeared on HabariLeo .
Go to News Site