Collector
Ubora wa miradi uendane na thamani ya fedha | Collector
Ubora wa miradi uendane na thamani ya fedha
HabariLeo

Ubora wa miradi uendane na thamani ya fedha

GEITA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema miradi ya maendeleo inayotekelezwa iendane na thamani ya fedha inayotolewa na serikali kwa ajili ya utekelezaji. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Aprili 17,2026 alipokagua mradi mkubwa wa Sh bilioni 22 unaotekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa Geita mkoani Geita akihitimisha … The post Ubora wa miradi uendane na thamani ya fedha first appeared on HabariLeo .

Go to News Site