Collector
Wananchi 150,000 wanufaika kituo cha kupoza umeme | Collector
Wananchi 150,000 wanufaika kituo cha kupoza umeme
HabariLeo

Wananchi 150,000 wanufaika kituo cha kupoza umeme

GEITA: ZAIDI ya wananchi 150,000 katika Mkoa wa Geita wanapata huduma ya umeme, ikiwa ni ongezeko kubwa kutoka wateja takribani 1,500 wa awali, hatua inayotokana na uboreshaji wa miundombinu ya usambazaji umeme. Hayo yamebainishwa leo na Aprili 17, 2026 na Meneja Tanesco Mkoa wa Geita, Mhandisi Michael Mbwana wakati Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na … The post Wananchi 150,000 wanufaika kituo cha kupoza umeme first appeared on HabariLeo .

Go to News Site