Collector
Wachimbaji madini Geita wahimizwa kuwekeza kwenye amana, hati fungani | Collector
Wachimbaji madini Geita wahimizwa kuwekeza kwenye amana, hati fungani
Mwananchi

Wachimbaji madini Geita wahimizwa kuwekeza kwenye amana, hati fungani

Wachimbaji dhahabu mkoani Geita wameshauriwa kuwa na matumizi sahihi ya fedha kwa kufanya uwekezaji kwenye amana za muda na hati fungani za Serikali (Treasury Bond) zinazosimamiwa na Benki Kuu, nyumba na ardhi, kwa ajili ya manufaa yao ya sasa na badaye kutokana na fedha wanazopata kupitia uchimbaji.

Go to News Site