Mwananchi
Benki ya Dunia (WB) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya kuboresha elimu kupitia Mpango wa BOOST (Basic Education for Growth and Transformation) baada ya kufanya ukaguzi wa miradi hiyo katika halmashajri za Mbozi na Tunduma mkoani Songwe, inayolenga kuinua ubora wa elimu ya msingi nchini.
Go to News Site