Stanbic yajikita kuimarisha huduma za malezi Zanzibar | Collector
Mwananchi
Stanbic yajikita kuimarisha huduma za malezi Zanzibar
Katika hatua ya kuunga mkono mpango huo, Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza kutoa Sh500 milioni huku ikikabidhi kiasi cha Sh185 milioni kama sehemu ya awamu ya kwanza ya ufadhili.