Collector
Miradi ya gesi Mtwara yalikosha kamati ya Baraza la Wawakilishi | Collector
Miradi ya gesi Mtwara yalikosha kamati ya Baraza la Wawakilishi
HabariLeo

Miradi ya gesi Mtwara yalikosha kamati ya Baraza la Wawakilishi

DODOMA: Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Uchumi na Uwekezaji Zanzibar imeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya gesi asilia mkoani Mtwara. Hayo yameelezwa Aprili 16, 2026 wakati wa ziara iliyoratibiwa na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa lengo la kuongeza uelewa kwa wajumbe wa kamati hiyo kuhusu shughuli za utafutaji, … The post Miradi ya gesi Mtwara yalikosha kamati ya Baraza la Wawakilishi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site