Bilionea Laizer aipatia shule ya Makiba mashine ya kudurufu | Collector
Mwananchi
Bilionea Laizer aipatia shule ya Makiba mashine ya kudurufu
Mchimbaji maafuru wa madini ya Tanzanite Saniniu Laizer ameipatia Shule ya Sekondari Makiba ya wilayani Arumeru mkoani Arusha mashine ya kudurufu yenye thamani ya Sh4 milioni.