Mwananchi
Upasuaji wa bure wa urekebishaji wa viungo uliofanywa kwa watu 16 waliokuwa na ulemavu pamoja na majeraha yaliyosababishwa na ukatili, ajali za moto umetajwa kurejesha tabasamu na matumaini kwa Watanzania hao.
Go to News Site