Collector
Utalii kupaa, Tanzania ikijipanga kuwa mwenyeji Mkutano IPU | Collector
Utalii kupaa, Tanzania ikijipanga kuwa mwenyeji Mkutano IPU
Mwananchi

Utalii kupaa, Tanzania ikijipanga kuwa mwenyeji Mkutano IPU

Wakati Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ukiendelea nchini Uturuki, banda la maonesho la Tanzania limekuwa kivutio kwa washiriki, huku wageni wengi wakitembelea kujifunza kuhusu vivutio vya utalii na fursa zilizopo katika sekta hiyo.

Go to News Site