Watanzania waaswa kuepuka siasa za chuki, waelekezwa kuhimiza maendeleo | Collector
Mwananchi
Watanzania waaswa kuepuka siasa za chuki, waelekezwa kuhimiza maendeleo
Watanzania wametakiwa kuepuka matumizi mabaya ya siasa yanayochochea chuki, vurugu na machafuko, badala yake wazitumie kama chombo cha kusukuma mbele gurudumu la maendeleo kwa manufaa ya taifa.