Collector
Tanesco yatoa zawadi ya majiko kwa walimu Sekondari ya wasichana Manyara | Collector
Tanesco yatoa zawadi ya majiko kwa walimu Sekondari ya wasichana Manyara
bongo5.com

Tanesco yatoa zawadi ya majiko kwa walimu Sekondari ya wasichana Manyara

Ni katika Kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa umeme Katika Kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa umeme hapa nchini Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Lazaro Twange ametoa Majiko zaidi ya 30 kwa Walimu wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Manyara ili kuwapa hamasa kwa kazi wanayoifanya. Akizungumza …

Go to News Site