Collector
Madaktari bingwa bobezi wawasili nchini kutoa huduma, yumo wa tiba za asili | Collector
Madaktari bingwa bobezi wawasili nchini kutoa huduma, yumo wa tiba za asili
Mwananchi

Madaktari bingwa bobezi wawasili nchini kutoa huduma, yumo wa tiba za asili

Hospitali ya Benjamin Mkapa imepokea madaktari bingwa bobezi watano kutoka China ili kuboresha utoaji wa huduma za kibingwa kwa Watanzania huku magonjwa lengwa yakitajwa ni Moyo ubongo, mifupa, mionzi na tiba asili.

Go to News Site