Collector
Bugando yafanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo | Collector
Bugando yafanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo
Mwananchi

Bugando yafanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando imefanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo tangu kuanza kwa mchakato huo miaka miwili iliyopita, hatua inayotajwa kurahisisha huduma hiyo kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa.

Go to News Site