HabariLeo
DAR ES SALAAM: Wizara ya Viwanda na Biashara imejipanga kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kibiashara na mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ili kuhakikisha vikwazo vya kibiashara kimataifa vinaondolewa kwa wakati na ufanisi mkubwa na kuchochea ukuaji wa viwanda nchini. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Waziri Salum amesema hayo Aprili 17, 2026, jijini Dar … The post Mabalozi watakiwa kutangaza fursa za kibiashara first appeared on HabariLeo .
Go to News Site