HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata, amewataka Watanzania kujivunia na kupenda bidhaa za ndani ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari, Flaviana amesema kuwa kama balozi wa chapa, anaamini katika ubora na hawezi kuhusisha jina au sura yake na bidhaa zisizofikia viwango vya kimataifa. Katika kuimarisha chapa yake, … The post Flaviana ahimiza uzalendo bidhaa za ndani first appeared on HabariLeo .
Go to News Site