HabariLeo
DAR ES SALAAM: Kadri siku zinavyosogea kuelekea mwezi Julai, macho ya Watanzania na dunia yanaelekezwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha ambako pazia la mbio za mbio kubwa za Ruaha maarufu ‘Great Ruaha Marathon’ zitakazofanyika Julai 4, 2026 litafunguliwa Julai 3, 2026 kwa utulivu wa asili kupitia walking safari na spot fishing. Great Ruaha Marathon si … The post Mbio kubwa za Ruaha kuanza Julai 4 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site