Collector
Tanzania yawaita Wamarekani kuwekeza katika madini na kilimo | Collector
Tanzania yawaita Wamarekani kuwekeza katika madini na kilimo
Mwananchi

Tanzania yawaita Wamarekani kuwekeza katika madini na kilimo

Balozi Omar ameeleza kuwa, Tanzania inaendelea kuimarika kiuchumi na kutoa mazingira rafiki kwa biashara na uwekezaji sambamba na uchumi wake kuendelea kukua kwa kasi, ukifikia asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6.0 mwaka 2025

Go to News Site