Collector
Mwigulu ataka uwanja wa AFCON 2027 ukamilike kwa wakati | Collector
Mwigulu ataka uwanja wa AFCON 2027 ukamilike kwa wakati
HabariLeo

Mwigulu ataka uwanja wa AFCON 2027 ukamilike kwa wakati

WAZIRI MKUU, Dk Mwigulu Nchemba, amemwagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika(AFCON)2027 ahakikishe mradi huo unakamilika kwa wakati. Ujenzi wa uwanja huo unaojengwa katika kata ya Olomoti, jijini Arusha ni sehemu ya maandalizi ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, yakayofanyika kwenye nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda. Akizungumza baada … The post Mwigulu ataka uwanja wa AFCON 2027 ukamilike kwa wakati first appeared on HabariLeo .

Go to News Site