HabariLeo
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya matangazo ya michezo ya SuperSport kwa kushirikiana na DStv imetangaza kuwa itarusha mubashara mechi zote 104 za FIFA World Cup 2026, mashindano yatakayofanyika katika nchi za Mexico, Canada na Marekani. Tangazo hilo limetolewa na kampuni hiyo, ambayo ni tanzu ya MultiChoice Group chini ya CANAL+, ikieleza kuwa hatua hiyo inalenga … The post DStv, SuperSport Kurusha ‘Live’ Mechi Zote 104 za Kombe la Dunia 2026 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site