Necta: Itakuwa aibu mwanafunzi wa darasa la nne kutojua kusoma na kuandika | Collector
Mwananchi
Necta: Itakuwa aibu mwanafunzi wa darasa la nne kutojua kusoma na kuandika
Profesa Mohamed amesema hatua ya kuwapima wanafunzi wakiwa darasa la pili imeiwezesha Serikali kuwatambua mapema wale wenye changamoto za kusoma na kuandika na kuanza kuwachukulia hatua stahiki.