Collector
Wananchi 12,216 Maswa kunufaika na mradi wa maji wa Sh1.2 bilioni | Collector
Wananchi 12,216 Maswa kunufaika na mradi wa maji wa Sh1.2 bilioni
Mwananchi

Wananchi 12,216 Maswa kunufaika na mradi wa maji wa Sh1.2 bilioni

Mradi huo unahusisha ujenzi wa tenki la kuhifadhi na kusambaza maji kwenye mnara wa urefu wa mita 12, lenye uwezo wa kuhifadhi lita 200,000 pamoja na ulazaji wa bomba kwa umbali wa kilomita 17.

Go to News Site