Collector
Bodaboda walioshtakiwa kwa kusafirisha bangi kilo 150 waachiwa | Collector
Bodaboda walioshtakiwa kwa kusafirisha bangi kilo 150 waachiwa
Mwananchi

Bodaboda walioshtakiwa kwa kusafirisha bangi kilo 150 waachiwa

Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru waendesha bodaboda wawili waliokuwa wameshtakiwa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi iliyokuwa na uzito wa kilo 150.11.

Go to News Site