HabariLeo
MARA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo mkoani Mara kwa kiwango cha lami. Hatua hiyo itafungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Ulega ameyasema hayo leo, Aprili 18, 2026 alipofungua Kanisa la Waadventista wa Sabato, sambamba … The post Serikali kuimarisha miundombinu Mara first appeared on HabariLeo .
Go to News Site