Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar imezitaka taasisi na mashirika ya umma kubadilika na kuanza kuchangamkia fursa zinazotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).