Watano wadakwa tuhuma mtandao wizi wa magari | Collector
Mwananchi
Watano wadakwa tuhuma mtandao wizi wa magari
Watu watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mtandao wa wizi wa magari katika mikoa ya Mbeya na Songwe, baada ya kufanyika kwa operesheni maalumu kati ya Aprili 10 hadi 18, 2026.