Collector
Tanesco yawazawadia walimu majiko, yataja nishati safi ya kupikia | Collector
Tanesco yawazawadia walimu majiko, yataja nishati safi ya kupikia
Mwananchi

Tanesco yawazawadia walimu majiko, yataja nishati safi ya kupikia

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa majiko 30 ya umeme kwa walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Manyara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini.

Go to News Site