Collector
SMZ yatoa neno ushirikishwaji wananchi utafiti wa mafuta, gesi | Collector
SMZ yatoa neno ushirikishwaji wananchi utafiti wa mafuta, gesi
Mwananchi

SMZ yatoa neno ushirikishwaji wananchi utafiti wa mafuta, gesi

Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikijiandaa kuanza shughuli za ukusanyaji wa takwimu za mafuta na gesi asilia kwa teknolojia ya 3D seismic survey, wananchi wa maeneo husika wameanza kupewa elimu ili waweze kushiriki kikamilifu na kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa mradi huo.

Go to News Site