Mwananchi
Kikundi cha Kuendeleza Vipaji na Ubunifu wa Viziwi nchini (Kikuvuvita) kimeanzisha mpango wa kuchapisha jarida la lugha ya alama za magonjwa, litakalosaidia kuboresha mawasiliano kati ya watu wenye uziwi na wahudumu wa afya.
Go to News Site