Collector
Wafanyabiashara Simu 2000 wajengewa vibanda badala ya meza | Collector
Wafanyabiashara Simu 2000 wajengewa vibanda badala ya meza
Mwananchi

Wafanyabiashara Simu 2000 wajengewa vibanda badala ya meza

Wakati awali mpango ilikuwa kuwawekea meza za muda wafanyabiashara wa Simu 2000, Ubungo jijini Dar es Salaam waliounguliwa na vibanda vyao ili kuendelea na shughuli zao, hilo limebadilishwa na sasa wamejengewa vibanda.

Go to News Site