Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua na ngurumo kuanzia leo Jumapili Aprili 19,2026 usiku katika mikoa mbalimbali nchini.