Mwananchi
Wakati Tanzania ikiazimia kukuza uchumi wake kutoka Dola 90 bilioni za Marekani (Sh234,000 trilioni) za sasa hadi kufikia Dola 1 trilioni miaka mitano ijayo, wataalamu wa uchumi wameonya kwamba, uhaba wa fedha za maandalizi ya miradi ya ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) unaweza kukwamisha azma hiyo.
Go to News Site