HabariLeo
DAR ES SALAAM: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametoa mwelekeo mpya unaolenga kuibadilisha sekta ya biashara na huduma nchini, akisisitiza zaidi urasimishaji na uwezeshaji. Akizungumza leo jijiji Dar es Salaam, katika hafla ya kufunga maonesho ya watoa huduma za sherehe maarufu kama ‘Adorable Wedding Trade Fair’ Kapinga amesema sekta ya huduma ni mhimili … The post Kapinga atoa mwelekeo mpya sekta ya huduma na biashara first appeared on HabariLeo .
Go to News Site