Mwananchi
Ukitembea kwenye mitaa ya Kariakoo kuanzia asubuhi hadi jioni, macho yako hayapumziki kuona magari, pikipiki, mikokoteni, baiskeli, watu wakipishana kwa mabega, sauti za wauzaji zikigongana na utasikia kelele nyingi mbalimbali.
Go to News Site