HabariLeo
ARUSHA: WANARIADHA kutoka Tanzania wamefanikiwa kung’ara katika mashindano ya kimataifa ya mbio ndefu za Tanfoam baada ya kumaliza washindi kwa kilometa 42 na kilometa 21 kwa wanawake na wanaume. Katika mbio ndefu za kilometa 42 mwanariadha Modest Kalist kutoka klabu ya Ambassador Arusha aliongoza kwa muda wa saa 2:15:58, nafasi ya pili ilishikiliwa na mwanariadha … The post Watanzania wang’aa mbio za Tanfoam first appeared on HabariLeo .
Go to News Site