Collector
Serikali kukamilisha miradi yote’viporo’ vya barabara, madaraja | Collector
Serikali kukamilisha miradi yote’viporo’ vya barabara, madaraja
bongo5.com

Serikali kukamilisha miradi yote’viporo’ vya barabara, madaraja

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewahakikishia Watanzania kuwa Serikali itahakikisha inajenga na kukamilisha kwa kiwango cha lami miradi yote viporo ya miundombinu ya barabara na madaraja nchini. Akizungumza na wananchi wa Isenye mkoani Mara baada ya kukagua miradi ya ujenzi wa barabara ya Tarime–Mugumu (km 87.14) na Sanzate–Natta (km 40), Waziri huyo alisema hatua …

Go to News Site