Collector
Kilimanjaro mwenyeji ya Siku ya Mkunga Duniani | Collector
Kilimanjaro mwenyeji ya Siku ya Mkunga Duniani
HabariLeo

Kilimanjaro mwenyeji ya Siku ya Mkunga Duniani

KILIMANJARO: Mkoa wa Kilimanjaro unatarajiwa kuwa kitovu cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mkunga Duniani (IDM) mwaka 2026, ambapo Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na wadau wa afya ya uzazi, mama, mtoto na vijana (RNMNCAH), kimeandaa matukio mbalimbali yatakayofanyika kuanzia Mei 2 hadi 5, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa … The post Kilimanjaro mwenyeji ya Siku ya Mkunga Duniani first appeared on HabariLeo .

Go to News Site