HabariLeo
DAR ES SALAAM; Zaidi ya Wataalumu wa Afya 100 wa Ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Duniani wameanza kupatiwa mafunzo ya uti wa mgongo kwa siku tatu jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo yaliyoanza Aprili 20 hadi 22,2026 Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) … The post Wataalamu wapewa mafunzo kutibu uti wa mgongo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site