HabariLeo
DAR ES SALAAM: KAMPUNI za Jubilee Life Insurance na Jubilee Health Insurance zimeongeza juhudi za kuhamasisha utunzaji wa mazingira katika shule mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kupitia mipango yao ya uwajibikaji kwa jamii (CSR). Mpango huo, unaolenga upandaji miti na elimu ya mazingira, tayari umefanikisha upandaji wa mamia … The post Jubilee Insurance yahamasisha utunzaji mazingira shuleni first appeared on HabariLeo .
Go to News Site