Watanzania wahimizwa kupima mapema ini | Collector
Mwananchi
Watanzania wahimizwa kupima mapema ini
Ingawa hakuna takwimu kamili, ametoa rai kwa jamii kuhusu umuhimu wa uchunguzi afya zao mapema pamoja na mabadiliko ya mtindo wa maisha ili kupunguza hatari ya kukumbwa na maradhi hayo.