Collector
Wananchi Monduli wawezeshwa vifaa kuvuna maji ya mvua | Collector
Wananchi Monduli wawezeshwa vifaa kuvuna maji ya mvua
Mwananchi

Wananchi Monduli wawezeshwa vifaa kuvuna maji ya mvua

Zaidi ya wakazi 10,000 katika Wilaya ya Monduli watanufaika na ugawaji wa matenki 500 ya kuhifadhia maji, kila moja likiwa na uwezo wa lita 5,000, ikiwa ni sehemu ya mradi wa uvunaji wa maji ya mvua unaolenga kupunguza uhaba wa maji hasa kipindi cha ukame.

Go to News Site