Collector
INEC yatangaza uchaguzi mdogo Isimani na kata 12 kufanyika Juni 1, 2026 | Collector
INEC yatangaza uchaguzi mdogo Isimani na kata 12 kufanyika Juni 1, 2026
bongo5.com

INEC yatangaza uchaguzi mdogo Isimani na kata 12 kufanyika Juni 1, 2026

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, pamoja na uchaguzi wa madiwani katika kata 12 mbalimbali nchini, utakaofanyika Juni 1, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima, mbali na uchaguzi wa ubunge Isimani, pia kutakuwa na …

Go to News Site