Collector
Utitiri masharti ya mikopo kwa vijana watikisa Bunge | Collector
Utitiri masharti ya mikopo kwa vijana watikisa Bunge
Mwananchi

Utitiri masharti ya mikopo kwa vijana watikisa Bunge

Fedha zinazozungumziwa na wabunge hao ni zile Sh200 bilioni zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana na kugawanywa katika wizara za madini, kilimo, mifugo, vijana na maendeleo ya jamii.

Go to News Site