Collector
Mradi wa uendelezaji bonde la Msimbazi kuhamisha zaidi ya nyumba 3,000, kutoa fidia stahiki | Collector
Mradi wa uendelezaji bonde la Msimbazi kuhamisha zaidi ya nyumba 3,000, kutoa fidia stahiki
bongo5.com

Mradi wa uendelezaji bonde la Msimbazi kuhamisha zaidi ya nyumba 3,000, kutoa fidia stahiki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI)  Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utaleta mabadiliko ya kweli kwa kubadilisha eneo la bonde la msimbazi ambalo ni hatarishi kwa sasa na kuwa sehemu muhimu kwa uchumi na mazingira ya Dar es Salaam. …

Go to News Site