bongo5.com
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameipa siku 14 Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kukamilisha taratibu zote za kisheria za manunuzi, ikiwemo kumpata mkandarasi, ili kuruhusu kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Kisarawe hadi Maneromango. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Masaki, Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani, Ulega alisema Serikali imelenga kuhakikisha wananchi wanapata huduma …
Go to News Site